Tumekusanya indiketa muhimu zaidi za kufanyia biashara kwa ajili yako. Zijaribu kwenye akaunti ya majaribio kuona ni zipi zinaufaa zaidi mtindo wako wa kufanya biashara.
Fanya mazoezi kwenye akaunti ya majaribio bila usajili.
1. Chagua sarafu
2. Fuatilia chati
3. Weka biashara
4. Pata matokeo
Aplikesheni ya simu ya mkononi daima inapatikana
Pakua aplikesheni yetu ya kufanyia biashara iliyo rafiki kwa mtumiaji kwenye kifaa chako cha mkononi na anza kufanya biashara.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Tazama maswali ya kawaida ya wafanyabiashara wapya yamejibiwa hapa.
Jiunge na anza kufanya mazoezi kwenye akaunti ya bure ya majaribio. Ni kama tu kufanya biashara kiuhalisia, isipokuwa pesa pepe ndio zinatumika.
Kwa ujumla, utaratibu wa kutoa pesa unaweza kuchukuwa siku 1 hadi 5, kuanzia tarehe uliyotuma ombi. Muda halisi utategemea kiasi cha wakati huo cha pesa zilizotolewa ambazo zinachakatwa kwa wakati mmoja. Tunajitahidi tunavyoweza kutoa pesa zako mapema inavyowezekana.
Jukwaa la kufanyia biashara ni programu ambayo inakuruhusu kufanya operesheni za biashara kwa kutumia sarafu mbalimbali za kifedha. Pia utapata data muhimu kama vile bei za sarafu, nafasi za soko katika wakati halisia, asilimia ya mapato n.k.
Ndio, jukwaa limeboreshwa kufanya kazi kwenye karibia kompyuta yoyote ya kisasa au kifaa cha mkononi. Unaweza kutumia aidha toleo la kivinjari au aplikesheni ya Android.
Faida kubwa ni kwamba hautakiwi kuwekeza viwango vikubwa ili kufanya biashara kwenye jukwaa. Unaweza kwa urahisi kuanza na kuweka dola 10.
Hapana, broka huyu hatozi ada zozote za kuweka au kutoa pesa.
Hata hivyo, unapaswa kufahamu kwamba ada kama hizo zinaweza kuwekwa na watoa huduma wa kati wa malipo ambao unaweza kuwa unawatumia. Wanaweza pia wakatumia kiwango chao wenyewe cha ubadilishaji sarafu.
Kuna sababu kadhaa kwa nini akaunti inaweza kufungwa:1. Hakuna shughuli.Sababu ya kawaida ni kwamba akaunti ilifungwa kwa kutokutumika (hakuna kuingia/shughuli) kwa muda mrefu - kutoka miezi 3 na zaidi. Akaunti kama hizo hufutwa, ikiwa hakuna pesa kwenye salio, na haziwezi kurejeshwa. Uko huru kusajili akaunti mpya. (mradi hakuna akaunti zingine zinazotumika zilizosajiliwa nawe kwenye Jukwaa)* Barua pepe haiwezi kutumika tena. Utahitaji kutumia anwani tofauti ya barua pepe.2. Imefutwa na mmiliki.Ikiwa hakuna fedha kwenye salio, akaunti hizo haziwezi kurejeshwa. Kama ilivyokuwa awali, unaweza kuhakikisha kuwa hakuna akaunti nyingine zinazotumika zilizosajiliwa nawe kwenye Jukwaa, na uunde mpya.)* Ikiwa umefuta akaunti yako mwenyewe kwa makosa, na kuna pesa kwenye salio lake - tafadhali wasiliana na kituo cha msaada kwa maelezo (kwa kutumia fomu ya «Mawasiliano» kwenye ukurasa mkuu wa tovuti). Maopareta wataangalia na kuona ikiwa akaunti inaweza kurejeshwa.
Ikiwezekana kurejesha akaunti, utaombwa kutoa
Picha yako mwenyewe ya ubora wa juu (selfie) ambayo umeshikilia nyaraka yako kwa ajili ya utambulisho (pasipoti yako au kitambulisho cha taifa kitafaa) pamoja na karatasi iliyoandikwa «QUOTEX» kwa mkono, tarehe ya sasa, na saini. Uso wako, mwili na mikono yote miwili lazima ionekane. Maelezo ya nyaraka yanapaswa kuonekana vyema na kusomeka.
Skrinishuti za risiti za pesa iliyowekwa katika akaunti hiyo (taarifa za benki au risiti zenye taarifa za kina kutoka kwenye mfumo wa malipo uliotumia kuweka pesa zitafaa).
3. Akaunti zilizorudiwa.Inaruhusiwa tu kuwa na akaunti moja inayotumika kwenye Mfumo. Ikiwa akaunti zingine zilizosajiliwa na mtu huyo huyo zitatambuliwa zinaweza kufutwa bila onyo (c 1.30 ya Mkataba wa Huduma).4. Imefutwa kwa ukiukaji wa Mkataba ya Huduma.Mmiliki huarifiwa kuhusu maelezo ya ukiukaji, na uwezekano wa kurejesha pesa, na ikiwezekana, anaombwa kutoa nyaraka zinazohitajika.)* Katika kesi ya ugunduzi wa ukiukaji kiotomatiki (k.m. kutumia programu za kiotomatiki za kufanya biashara) - Kampuni ina haki ya kutokumjulisha mmiliki mapema. (Unaweza kuwasiliana na kituo cha msaada kupitia fomu ya “Mawasiliano” iliyo chini ya ukurasa wa mbele wa tovuti kwa maelezo na urejeshaji pesa (ikiwezekana). Tunakukumbusha kwamba nyaraka zote za kisheria (Mkataba wa Huduma na viambatisho vyake) zinapatikana kwa umma na zinaweza kurejelewa wakati wowote kwenye tovuti ya Kampuni.